mwenyekiti mpya wa sign language sekomu anawatangazia wanasekomu wote kuwa sign language inaendelea kila siku ya jumamosi katika ukumbi wa LH3 hivyo basi member na asiyekuwa member wote mnakaribishwa. utajifunza mengi na utafaidi kuijua lugha ya alama.
imetolewa na uongozi ssilac