Jumapili, 21 Juni 2015

MAHAFALI YA MWAKA WA TATU 2015 SSILAC SEKOMU

Mwenyekiti wa Club ya sign language anapenda kuwaalika katika mahafali ya kuwaaga mwaka wa tatu yatakayofanyika ukumbi wa AHM chuo kikuu cha SEKOMU siku ya ijumaa, tarehe 03/07/2015 kuanzia saa 2:00pm-5:00pm. Mgeni rasmi anataarajiwa kuwa Makamu Mkuu wa chuo Rev.Dr.Aneth Munga. wote mnakaribishwa.
                                                RATIBA YA SHEREHE

NO.
TUKIO
MUDA
MUHUSIKA
1
KUINGIA UKUMBINI
2:00PM-2:05PM
WOTE
2
MGENI RASMI KUWASILI
2:05PM-2:10PM
MGENI RASMI
3
NENO LA UFUNGUZI
2:10PM-2:15PM
MCH.KANJU
4
WIMBO WA TAIFA KWA LUGHA YA ALAMA
2:15PM-2:25PM
WOTE
5
KUTAMBULISHA WAGENI
2:25PM-2:30PM
M/KITI-MLEZI
6
NYIMBO/ KWAYA
2:30PM-2:40PM
MWAKA WA 1-3
7
RISALA
2:40PM-2:50PM
MWAKA WA 3
8
WIMBO
2:50PM-2:55PM
MWAKA WA 3
9
NENO TOKA KWA MGENI RASMI
2:55PM-3:05PM
MGENI RASMI
10
KUGAWA VYETI
3:05PM-3:15PM
MGENI RASMI
11
NENO LA SHUKRANI
3:15PM-3:25PM
MLEZI
12
CHAKULA
3:25PM-3:55PM
WOTE
13
NENO LA KUFUNGA
3:55PM-4:00PM
MCH.KANJU
14
KUPIGA PICHA ZA PAMOJA NA KUONDOKA
4:00PM-5:00PM
WOTE
 
               USE SIGN LANGUAGE FOR INCLUSIVE SOCIETY
IMETOLEWA NA UONGOZI WA SIGN LANGUAGE SEKOMU UNIVERSITY