Jumapili, 15 Juni 2014

MAKAM MKUU WA CHUO SEKOMU ATOA MOTISHA KWA WANACHUO

Ni ijumaa ya tarehe 13/06/20014 alipokutana na wanachuo wote wa mwaka wa kwanza hadi wa tatu. Akiwa anaongea na wanafunzi wa chuo wa mwaka wa kwanza aliwataka kutokukubali makundi yanayoweza kuvunja umoja wetu. Pia alisisitiza nidhamu upendo na ushirikiano.

Makam mkuu wa chuo Dr.Aneth Munga amewapa motisha wanachuo wa mwaka wa kwanza kuwa wajitahidi kwa bidii zote kujifunza lugha ya alama kwani pinid watakapokuwa na uhitaji wa mkalimani kwa ajili ya kuwassaidia wale wenye matatizo ya kusikia wapatikane kwa urahisi. Alisema "Najua watahitaji mshahara, sisi tutakachofanya sehemu ya ada yao tutawambia wasilipe na hiyo ndiyo itakayokuwa kama mshahara wao". Hivyo kauli hii sio kwa mwaka wa kwanza tu bali ni kwa wanachuo wote wasomao lugha ya alama na wasiosoma.















Alhamisi, 12 Juni 2014

MBOGO COMPANY: HABARI MPYA KUTOKA MBOGO CAMPANY

MBOGO COMPANY: HABARI MPYA KUTOKA MBOGO CAMPANY:                                              TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO KWA GHARAMA NAFUU:-        COMPUTER...

Jumanne, 10 Juni 2014

Ijumaa, 6 Juni 2014

                         TANGAZO  TANGAZO  TANGAZO.
MWENYEKITI WA SIGN LANGUAGE CLUB SEKOMU (SSILAC) ANA SIKITIKA KUWATANGAZIA WANA CLUB WOTE WA SSILAC KUWA ALIYEKUWA MWANACHAMA NA MMOJA WA WAANZILISHI WA SSILAC SEKOMU 2010-2013, MADAM SALOME AMEFARIKI DUNIA.

                                                       MADAM SALOME

TULIMPENDA SANA ILA HATUNA BUDI KUMWOMBEA MOLA AMLAZE PAHALA PANAPOSTAHIKI
"SOTE NI WA MWENYEZIMUNGU NA KWAKE TUTAREJEA"

Jumatano, 4 Juni 2014

kutana na blogger wa blog ya www.ssilacsekomu.blogspot.com anayeonekana kwenye picha wasilisha unachoona kinafaa kuhifaziwa na kuonekana na waliowengi kwa ajili ya watu kujifunza lugha alama ya alama.
wasiliana naye kwa E-mail address ssilacsekomu@gmail.com
ama weka comments zako na zitafanyiwa kazi



Things to consider when you signing.



Things to consider when you signing
1.       You have to know the location of the sign
2.       Movement , how to move the sign
3.        Directionality like where sign going
4.       Orientation eg, how many times the sign done
characteristic cs of learners with hearing impairment.

  • ·         They keep eye contact to the speaker

  • ·         The turn the best ear to the source of the sound

  • ·         They look the lips of the speaker

  • ·         They use sign language.

  • ·         Ask repetition

  • ·         The don't follow verb-on conversation

  • ·         Some of them have temper

  • ·         The sharfall their foot when their working

  • ·          Some times they relay on the interpreters

  • ·         They perform poorly in mathematics and English

  • ·         They have a problems with speech

  • ·         Some of them have sound with high pitch & other low

  • ·         They wear a hearing aid some of them

·         Isolation