Ijumaa, 11 Julai 2014

clip ya video ya wana ssilac wakiimba kwa lugha ya alama

ni tarehe 11/07/2014 kulikuwa na mahafali ya mwaka wa tatu wakiagwa na mgeni rasmi alikuwa Rev.Dr.Ngungi, na Dr. Bagandashwa, wageni wengine alikuwa mchungaji Kanju, dean of student, mr.mutungi, Mwalimu mlezi wa club Mama Sella Munyendo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni