Jumapili, 21 Juni 2015

MAHAFALI YA MWAKA WA TATU 2015 SSILAC SEKOMU

Mwenyekiti wa Club ya sign language anapenda kuwaalika katika mahafali ya kuwaaga mwaka wa tatu yatakayofanyika ukumbi wa AHM chuo kikuu cha SEKOMU siku ya ijumaa, tarehe 03/07/2015 kuanzia saa 2:00pm-5:00pm. Mgeni rasmi anataarajiwa kuwa Makamu Mkuu wa chuo Rev.Dr.Aneth Munga. wote mnakaribishwa.
                                                RATIBA YA SHEREHE

NO.
TUKIO
MUDA
MUHUSIKA
1
KUINGIA UKUMBINI
2:00PM-2:05PM
WOTE
2
MGENI RASMI KUWASILI
2:05PM-2:10PM
MGENI RASMI
3
NENO LA UFUNGUZI
2:10PM-2:15PM
MCH.KANJU
4
WIMBO WA TAIFA KWA LUGHA YA ALAMA
2:15PM-2:25PM
WOTE
5
KUTAMBULISHA WAGENI
2:25PM-2:30PM
M/KITI-MLEZI
6
NYIMBO/ KWAYA
2:30PM-2:40PM
MWAKA WA 1-3
7
RISALA
2:40PM-2:50PM
MWAKA WA 3
8
WIMBO
2:50PM-2:55PM
MWAKA WA 3
9
NENO TOKA KWA MGENI RASMI
2:55PM-3:05PM
MGENI RASMI
10
KUGAWA VYETI
3:05PM-3:15PM
MGENI RASMI
11
NENO LA SHUKRANI
3:15PM-3:25PM
MLEZI
12
CHAKULA
3:25PM-3:55PM
WOTE
13
NENO LA KUFUNGA
3:55PM-4:00PM
MCH.KANJU
14
KUPIGA PICHA ZA PAMOJA NA KUONDOKA
4:00PM-5:00PM
WOTE
 
               USE SIGN LANGUAGE FOR INCLUSIVE SOCIETY
IMETOLEWA NA UONGOZI WA SIGN LANGUAGE SEKOMU UNIVERSITY

Jumatano, 6 Mei 2015

mwaliko

mwenyekiti mpya wa sign language sekomu anawatangazia wanasekomu wote kuwa sign language inaendelea kila siku ya jumamosi katika ukumbi wa LH3 hivyo basi member na asiyekuwa member wote mnakaribishwa. utajifunza mengi na utafaidi kuijua lugha ya alama.
                              imetolewa na uongozi ssilac

HONGERA VIONGOZI WAPYA

Mwenyekiti  aliyemaliza mda wake anawapa hongera viongozi wapya waliochaguliwa tarehe 25/04/2015 katika mkutano wa wanachama wa lugha ya alama. Pia anawaombea na kuwaasa wawe wavumilivu katika kuongoza club na pia wawe wabunifu zaid ili sekomu sign language iende mbele.

Jumamosi, 28 Machi 2015

TANZANGO

Uongozi wa club unawatangazia wana chama wote kuwa fomu za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi zimeshatoka hivyo mwenye sifa basi akachukue na ajaze na arejeshe kwa ajili ya uchaguzi.

MBOGO COMPANY: OFA MSIMU HUU WA PASAKA

MBOGO COMPANY: OFA MSIMU HUU WA PASAKA:                                                   MBOGOCOMPANY   Ina waletea OFA msimu huu wa pasaka hadi tarehe 10/4/2015 kwa punguzo la ...