Karibuni wageni wote wa mwaka wa kwanza katika club ya lugha ya alama ili kujifunza lugha ya alama.
Lugha ya alama itakusaidia kuwasiliana na watu wenye matatizo ya kusikia kama viziwi, na bubu. Tunakutana kila jumamosi kuanzia saa 4:00 asubuhi hadi saa 5:00 asubuhi kwa mwaka wa kwanza na kwa ambao hawana msingi mzuri wa lugha ya alama na saa 5:00 asubuhi hadi saa 6:00 mchana kwa mwaka wa pili na watatu.
JIFUNZE LUGHA YA ALAMA ILI KUWASILIANA NA WATU WENYE MATATIZO YA KUSIKIA.
ASANTE
WENU KATIKA KUJIFUNZA LUGHA YA ALAMA
LUCIANA DIDASY
AFISA MAHUSIANO
SSILAC
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni