Je unachangamoto ya lugha ya alama?
Je umeona changamoto hii mahali.?.
Tuma maoni yako sasa tuweze na tushirikiane kujua namna gani tunaweza kusaidia jamii yetu haswa katika suala la matumizi ya lugha ya alama. Au waweza niandikia ...
davidedwin48@gmail.com
. Usikae kimya tushirikiane mana kazi hii ni yetu sote!!
Umejipangaje kama mtaalamu wa lugha ya alama kuisaidia jamii?
#serve with compassion.
SEKOMU SIGN LANGUAGE CLUB
Alhamisi, 10 Mei 2018
AWARENESS!! DISABILITY IS NOT INABILITY.
Wherever you are try to create awareness to the society on how they treat people with disabilities, because disability is not inability.
davidedwin48@gmail.com
Welcome to Sekomu sign language club.. Every Saturday at 10:00 morning. The club activities are done here at SEKOMU LUSHOTO CAMPUS B..
Attending sign language club; You will benefit the following
-Learn new signs used in communication by using the standard official format (TSL) Tanzania Sign Language
-Interact with the individual users of sign language
-Be Communicate by using sign language
-Meet the experts of sign language
-Enjoy interaction with other scholars from SEKOMU community
You are welcome .. Acquire knowledge save with compassion.

Ijumaa, 6 Januari 2017
Jumanne, 27 Desemba 2016
Karibuni wageni wote wa mwaka wa kwanza katika club ya lugha ya alama ili kujifunza lugha ya alama.
Lugha ya alama itakusaidia kuwasiliana na watu wenye matatizo ya kusikia kama viziwi, na bubu. Tunakutana kila jumamosi kuanzia saa 4:00 asubuhi hadi saa 5:00 asubuhi kwa mwaka wa kwanza na kwa ambao hawana msingi mzuri wa lugha ya alama na saa 5:00 asubuhi hadi saa 6:00 mchana kwa mwaka wa pili na watatu.
JIFUNZE LUGHA YA ALAMA ILI KUWASILIANA NA WATU WENYE MATATIZO YA KUSIKIA.
ASANTE
WENU KATIKA KUJIFUNZA LUGHA YA ALAMA
LUCIANA DIDASY
AFISA MAHUSIANO
SSILAC

Jumapili, 21 Juni 2015
MAHAFALI YA MWAKA WA TATU 2015 SSILAC SEKOMU
Mwenyekiti wa Club ya sign language anapenda kuwaalika katika mahafali ya kuwaaga mwaka wa tatu yatakayofanyika ukumbi wa AHM chuo kikuu cha SEKOMU siku ya ijumaa, tarehe 03/07/2015 kuanzia saa 2:00pm-5:00pm. Mgeni rasmi anataarajiwa kuwa Makamu Mkuu wa chuo Rev.Dr.Aneth Munga. wote mnakaribishwa.
RATIBA YA SHEREHE
USE SIGN LANGUAGE FOR INCLUSIVE SOCIETY
IMETOLEWA NA UONGOZI WA SIGN LANGUAGE SEKOMU UNIVERSITY
RATIBA YA SHEREHE
NO.
|
TUKIO
|
MUDA
|
MUHUSIKA
|
1
|
KUINGIA UKUMBINI
|
2:00PM-2:05PM
|
WOTE
|
2
|
MGENI RASMI KUWASILI
|
2:05PM-2:10PM
|
MGENI RASMI
|
3
|
NENO LA UFUNGUZI
|
2:10PM-2:15PM
|
MCH.KANJU
|
4
|
WIMBO WA TAIFA KWA LUGHA YA ALAMA
|
2:15PM-2:25PM
|
WOTE
|
5
|
KUTAMBULISHA WAGENI
|
2:25PM-2:30PM
|
M/KITI-MLEZI
|
6
|
NYIMBO/ KWAYA
|
2:30PM-2:40PM
|
MWAKA WA 1-3
|
7
|
RISALA
|
2:40PM-2:50PM
|
MWAKA WA 3
|
8
|
WIMBO
|
2:50PM-2:55PM
|
MWAKA WA 3
|
9
|
NENO TOKA KWA MGENI RASMI
|
2:55PM-3:05PM
|
MGENI RASMI
|
10
|
KUGAWA VYETI
|
3:05PM-3:15PM
|
MGENI RASMI
|
11
|
NENO LA SHUKRANI
|
3:15PM-3:25PM
|
MLEZI
|
12
|
CHAKULA
|
3:25PM-3:55PM
|
WOTE
|
13
|
NENO LA KUFUNGA
|
3:55PM-4:00PM
|
MCH.KANJU
|
14
|
KUPIGA PICHA ZA PAMOJA NA KUONDOKA
|
4:00PM-5:00PM
|
WOTE
|
USE SIGN LANGUAGE FOR INCLUSIVE SOCIETY
IMETOLEWA NA UONGOZI WA SIGN LANGUAGE SEKOMU UNIVERSITY
Jumatano, 6 Mei 2015
mwaliko
mwenyekiti mpya wa sign language sekomu anawatangazia wanasekomu wote kuwa sign language inaendelea kila siku ya jumamosi katika ukumbi wa LH3 hivyo basi member na asiyekuwa member wote mnakaribishwa. utajifunza mengi na utafaidi kuijua lugha ya alama.
imetolewa na uongozi ssilac
imetolewa na uongozi ssilac
HONGERA VIONGOZI WAPYA
Mwenyekiti aliyemaliza mda wake anawapa hongera viongozi wapya waliochaguliwa tarehe 25/04/2015 katika mkutano wa wanachama wa lugha ya alama. Pia anawaombea na kuwaasa wawe wavumilivu katika kuongoza club na pia wawe wabunifu zaid ili sekomu sign language iende mbele.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)