Jumamosi, 8 Novemba 2014

KAMUSI YA LUGHA YA ALAMA

UUONGOZI WA SSILAC SEKOMU UNAWATANGAZIA KUWA KAMUSI ZA LUGHA YA ALAMA ZIPO KWA GHARAMA YA SHILINGI ZA KITANZANIA 12000

MWAKA WA KWANZA WAIFURAHIA SSILAC SEKOMU

Ni baada ya mwaka wa kwanza waliojiunga na ssilac kufurahia mafunzo hayo ya lugha ya alama yaliyo anza rasmi tarehe 25/10/2014.

Alhamisi, 30 Oktoba 2014

SIKU YA UFUNGUZI WA MWAKA WA MASOMO 2014/2015 SSILAC SEKOMU

www.sekomu.ac.tz



MWENYEKITI AKIFUNGUA MWAKA WA MASOMO WA SSILAC
MMOJA KATI YA WANA CLUB AKITOA STORI KWA LUGHA YA ALAMA


MBELE KABISA KUANZIA KUSHOTO NI WANAFUNZI WAPYA WA MWAKA WA KWANZA WENYE ULEMAVU WA KUSIKIA

WANACHAMA WAKIWA MAKINI DARASANI WAKIJIFUNZA LUGHA YA ALAMA.
MMOJA KATI YA VIONGOZI WA CLUB AKITOA HISTORIA YAKE WAKATI AKIWA MAZOEZI DODOMA NA WANAFUNZI WALEMAVU WA MASIKIO.



bBaadhi ya viongozi wa ssilac club wakifanya utambulisho.
kushoto ni mwenyekiti wa ssilac akiwa anafanya utambulisho wa viongozi anaoshirikiana nao. na katikati ni mwalimu na mkalimani wa lugha ya alama akikalimani matangazo kwa wale wanafunzi wasiosikia wa mwaka wa kwanza na mwaka wapili

Alhamisi, 23 Oktoba 2014

TANGAZO TANGAZO TANGAZO

Mwenyekiti wa sign language club sekomu anawatangazia wanachuo wa sekomu wote kuwa vipindi vitaanza rasmi jumamosi ya tarehe 25/10/2014.
muda kuanzia saa 4:00 asubuhi hadi saa 6:00 mchana
sehemu LH3
wanachama wapya wanaopenda kujiunga wote wanakaribishwa hasa hasa mwaka wa kwanza.
        imetolewa na katibu wa ssilac sekomu.

Jumapili, 15 Juni 2014

Habari katika picha

Sign language interpreter when he was at class teaching and helping student studying Hearing  Impairment. at Saturday in sign language club SEKOMU.