TANGAZO TANGAZO TANGAZO.
MWENYEKITI WA SIGN LANGUAGE CLUB SEKOMU (SSILAC) ANA SIKITIKA KUWATANGAZIA WANA CLUB WOTE WA SSILAC KUWA ALIYEKUWA MWANACHAMA NA MMOJA WA WAANZILISHI WA SSILAC SEKOMU 2010-2013, MADAM SALOME AMEFARIKI DUNIA.
MADAM SALOME
TULIMPENDA SANA ILA HATUNA BUDI KUMWOMBEA MOLA AMLAZE PAHALA PANAPOSTAHIKI
"SOTE NI WA MWENYEZIMUNGU NA KWAKE TUTAREJEA"
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni